Tuesday, September 13, 2011

Day 3 (0030HRs)


Hatimaye, nimefanikiwa kutengeneza blog hii.  Nina notes za yaliyojili day 1 na day 2 (juzi na jana) na hizi ntazipandisha taratibu - by mwisho wa wiki.

Lengo ni kila siku kabla ya kulala kuandika summary ya vitu notable vilivyotokea siku hiyo.

I hope ntaweza kuandika siku zote 365 za Shule ukubwani na ughaibuni....

Ila kwa sasa naenda lala ban....